Psalms 123:2


2 aKama vile macho ya watumwa
yatazamavyo mkono wa bwana wao,
kama vile macho ya mtumishi wa kike
yatazamavyo mkono wa bibi yake,
ndivyo macho yetu yamtazamavyo Bwana Mwenyezi Mungu wetu,
mpaka atakapotuhurumia.

Copyright information for SwhKC